Mpenzi mfuatiliaji wa simulizi kuhusu GAMBOSHI ambayo huwa tunakuletea kila siku za Jumamosi kila wiki kupitia www.malunde1.blogspot.com Tunaomba radhi kwa simulizi hiyo kukosekana wiki iliyopita ya Tarehe 13.12.2014 na leo Desemba 20,2014. Hii inatokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
Simulizi hiyo ambayo ilifikia sehemu ya 11 Desemba 6,2014,Sehemu ya 12 itaendelea wiki ijayo siku ya Jumamosi Desemba 27,2014.
Simulizi hiyo ambayo ilifikia sehemu ya 11 Desemba 6,2014,Sehemu ya 12 itaendelea wiki ijayo siku ya Jumamosi Desemba 27,2014.
Aidha mkurugenzi wa Malunde1 blog ndugu Kadama Malunde anawakaribisha watunzi wa simulizi ,wote wanaopenda simulizi zao zichapishwe kwenye blog hiyo yenye wasomaji zaidi ya Milioni 2 na nusu na wasomaji wasiopungua elfu 20 kwa siku.
Tunakaribisha pia Matangazo ya kila aina,na kama una habari ama picha tutumie chap chap kwa namba 0688 405 951