Wimbo Mpya sikiliza na Download- DIAMOND PLATNUMZ, BRACKET NA MDADA TIWA SAVAGE WA NIGERIA!

Kundi la Bracket (hit makers wa Yori yori) la Nigeria limeachia rasmi audio ya collabo yao waliyofanya na staa wa Bongo Diamond Platnmuz. Katika wimbo huo uitwao ‘Alive’ ambao video yake imefanywa wiki chache zilizopita nchini Afrika Kusini, ameshirikishwa pia msanii wa kike wa Nigeria, Tiwa Savage.
Jaribu kuusikiliza jinsi Diamond alivyotisha humo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post