TAZAMA VIDEO YA OMMY DIMPOZ-Tupogo Remix

Ommy Dimpoz - Tupogo Remix
Kipindi cha nyuma kuna baadhi ya picha za wasanii wawili yaani Ommy Dimpoz pamoja na Jokate Mwagelo zikiwanyesha wakiwa kwenye mavazi ya ajabu na watu wakasema kuwa hiyo ndiyo ilikuwa mara ya kwanza kwa msanii Ommy Dimpoz kuja Dar kutokea kwao Kigoma na alipokelewa na Jokate Mwagelo lakini kumbe sivyo ilivyokuwa inadhaniwa ilikuwa ni remix ya nyimbo Tupogo leo hii ndiyo imetoka unaweza kuona hapa kwa mara ya kwanza kabisa 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527