Hapa ni katika eneo la njia panda ya kuelekea halmashauri ya mji mdogo wa Kishapu wilayani Kishapu mkoani Shinyanga ambako kamera ya Malunde1 blog imenasa gari ndogo ikiwa imejaza watu wakielekea Kishapu.Kama gari ndogo inajaza watu wengi namna hiyo,je wahusika wa usalama barabarani hamuoni haya? au mnataka hadi ajali itokee ndiyo mjitokeze kukemea wanaosababisha ajali?
Safari kuelekea Kishapu,wengine wanachungulia kwa dereva wakiomba kupanda kwenye gari pamoja na kwamba wanaona limejaa
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin