
Mwili wa kijana anayedaiwa kujaribu kuiba lap top ya majeruhi katika eneo la ajali ndipo wananchi waliokuwa eneo la tukio walimpiga na kumchoma moto
Jamaa mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja amechomwa moto na wananchi leo asubuhi na kufariki dunia papo hapo baada ya kujaribu kuiba vitu vikiwemo Laptop na vitu vyingine mali za abiria katika ajali iliyotokea leo asubuhi mjini Kahama mkoani Shinyanga baada la Bus la Wibonela Express kupata ajali na kuua watu wanne,mtoto mmoja,wanaume wawili na mwanamke mmoja

Social Plugin