
Mwana harakati mahiri Hassan Salim Kapalatu(kulia) ni mmoja wa wanasiasa chipukizi tishio akirudisha fomu katika makao makuu ya mabaraza ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.

Kapalatu atagombea nafasi ya ujumbe wa Baraza kuu taifa la chadema.
Hassan Salim Kapalatu alikuwa katibu mwenezi CHADEMA wilaya ya Manyoni mwaka 2011 hadi 2014.

Aliwahi kukaimu ukatibu wa jimbo la Manyoni magharibi pia kufanya harakati katika ujenzi wa chama katika mikoa ya Arusha, Geita, Singida, Dodoma, Morogoro, Shinyanga, Dar es salaam na Mwanza.
TAFADHALI BOFYA HAPA U LIKE PAGE YETU TUKUTUMIE "HABARI" MOJA KWA MOJA KILA ZINAPOTOKEA
Social Plugin