PICHA- KUHUSU WATAKATIFU WAPYA WALIOTANGAZWA

 
PAPA JOHN PAUL WA PILI ambaye aliwai kuja Tanzania miaka ya 90 na PAPA JOHN WA ISHIRINI NA TATU  WAMETAWAZWA KUWA WATAKATIFU! 

TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA

Mahujaji wakifuatilia tukio la kuwatangaza watakatifu Papa John Paul II na John XXIII jijini Vatican 

Papa Francis akiongoza ibada kabla ya kuwatangaza watakatifu.
Mapaparazi wakiwa kazini wakati wa zoezi hilo.
Papa Benedict XVI akisalimiana na Rais wa Italia,Giorgio Napolitano jijini Vatican.
Mapadre wakiwa wamebeba picha za watakatifu Papa John Paul II (kulia) na John XXIII (kushoto).
Papa Francis akiwasalimia waumini waliohudhuria ibada hiyo.
 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post