MASKINI TAZAMA ABIRIA HAWA WALIVYOTOLEWA KUPITIA MADIRISHANI BAADA YA BASI LA RATCO KUPINDUKA HUKO PWANI

 Wananchi wakitoka kwenye gari kupitia madirishani.
 Aha! kila mmoja akichomoka kujiokoa.
Basi la RATCO linalofanya safari zake Dar es Salaam kwenda Tanga limepata ajali eneo la Kibaha, Pwani jana jioni Aprili 27, 2014.


Kwa mujibu wa shuhuda aliyefika eneo la tukio alisema gari hilo lilipindukia ubavu baada ya kuacha njia.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post