Wanakalenga Jana Wamechagua Mbunge wa Jimbo lao na haya hapa ndiyo MATOKEO YA JUMLA.Godfrey Mugimwa(32) wa CCM ndiyo mbunge jimbo hilo
CCM wamepata Kura 22,962
CHADEMA Wamepata Kura 5,853
Chausta 150.
CCM imeshinda kwa asilimia 79.32%
Chadema kwa Asilimia 20.22%
Chausta Kwa Asilimia 0.52%
Kura halali 28,965, Kura zilizoharibika 576, Kura zilizopigwa 29,541 na Idadi ya wapiga kura walioandikishwa 71, 964!