Muonekano wa basi la Bunda Express baada ya kugongana na Treni katika eneo la Manyoni mkoani Singida leo.