MTANGAZAJI WA EAST AFRICA RADIO,AKUTWA AMEFARIKI KWENYE KOCHI


Marehemu Kenneth Kidago Lyanga enzi ya uhai wake.
 Mbunifu Msaidizi na Mtangazaji wa Habari za Michezo wa East Africa Radio Kenneth Kidago Lyanga amefariki dunia nyumbani kwake Mwenge Mlalakua, Jijini Dar es Salaam.
  Taarifa zinadai kuwa Kenneth amekutwa amefariki akiwa amekaa kwenye kochi wakati akiangalia televisheni kwa kuwa televisheni hiyo imekutwa ikiendelea kuonesha vipindi   Mipango ya mazishi ya Kenneth Lyanga inafanywa na familia yake. 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Kenneth Kidago Lyanga Mahala Pema Peponi, Amina!!!
Chanzo Eddy Blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post