Harufu ya Mafuriko!!! MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZAANZA KULETA ADHA SHINYANGA TAZAMA PICHA HAPA

Hapa ni katika kata ya Kambarage mjini Shinyanga kama unavyoona hapo juu katika picha nyumba ni moja ya nyumba ambapo kamera za malunde1.blogspot.com zilifanikiwa kunasa maji yakiwa yamezingira nyumba hiyo baada ya mvua kunyesha takribani saa moja.

Hali ndivyo ilivyokuwa jana jioni katika eneo hilo la Kambarage katika manispaa ya Shinyanga ambapo vipaumbele vyake kwa sasa ni ujenzi wa kalavati na mitaro


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post