Ni katika eneo la kituo cha mabasi Maganzo pembezoni mwa Barabara ya Shinyanga-Mwanza wilayani Kishapu mkoani Shinyanga watoto wakisubiri magari ili wauze karanga kwa abiria,ambapo wauza karanga ambao wengi wao ni watoto hupanda katika mabasi yanayopita eneo hilo na kushuka eneo la Mwigumbi na kusubiri magari mengine yanayotoka Mwanza na kuwashusha katika eneo hilo la Maganzo
Social Plugin