Breaking News!!! MWIGIZAJI WA FUTUHI MZEE DUDE AFARIKI DUNIA


Mzee Dude enzi za uhai wake

 


Habari zilizoufikia mtandao huu wa malunde1.blogspot.com zinasema kuwa Msanii wa kundi maarufu la vichekesho na uigizaji nchini Tanzania la Futuhi Mzee Dude amefariki dunia Leo mida ya saa kumi na moja jioni.Habari zinasema kuwa alizidiwa jana jumapili na kukimbizwa katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza

 MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MZEE DUDE MAHALI PEMA PEPONI AMINA!!

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post