|
Ni katika eneo karibu na soko kuu la mjini Shinyanga gari ikiwa imetumbukia kwenye mtaro,waliokuwa katika eneo la tukio waliuambia mtandao wa malunde1.blospot.com kuwa dereva wa gari hiyo hakuwa makini wakati akiingia main road akajikuta gari lake likiingia mtaroni na kulazimika kutoa shilingi elfu kwa watu wenye nguvu zao ili kunasua gari yake |
|
Mwenye suti karibu na gari ndiyo aliyekuwa anaendesha gari hiyo,akitafakari namna ya kuondoa gari yake mahali hapo |
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553