Pengine waweza kushangaaa lakini ndiyo hali halisi ya maisha ya watanzania katika baadhi maeneo usafiri bado ni kitendawili.Mwanamke ambaye hakuweza kufahamika mara moja jina lake katika kijiji cha Makao wilaya ya Meatu mkoa mpya wa Simiyu akiwa amebeba kuni mgongoni/kiunoni akitokea kutafuta kuni porini.Kipande cha nguo kimezungushwa kiunoni halafu safari inaendelea-Picha na Emmanuel Mpanda
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin