CHOO CHA KATA CHAGEUZWA STOO-NDEMBEZI KATIKA MANISPAA YA SHINYANGA

Hiki ndiyo choo cha ofisi ya afisa mtendaji kata ya Ndembezi katika manispaa ya Shinyanga ambacho kimegeuzwa stoo kuhifadhia,na kufuatia hali hiyo afisa afya wa kata hiyo bwana Sanya Anthony Mwara amesema ipo haja ya kufanyika ukarabati wa katika ofisi hiyo ikwa ni pamoja na kutenganisha chumba cha choo hicho na ofisi kwani kimeunganishwa pamoja

 Muonekano ndani ya choo hicho ambacho ni kimoja tu na kinatumika na watu wa jinsia zote

 Nyuma ya ofisi hiyo,Chumba cha kwanza kulia anapoingia huyo jamaa ndiyo choo chenyewe,mlango unaofuatia ni mlango wa pili katika ofisi hiyo ambapo kwa mujibu diwani wa kata hiyo David Nkulila na afisa mtendaji wa kata hiyo Jamesa Dogani wamesema wapo katika mpango wa kufanya marekebisho katika ofisi hiyo
Muonekano wa ofisi hiyo kwa mbele

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post