ZAIDI YA MILIONI 212 ZAPATIKANA KATIKA HARAMBEE YA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASA KUCHANGIA UJENZI WA SHULE YA MSINGI YA KANISA LA AICT PASTORETI YA KAHAMA MJINI
Monday, September 16, 2013
Waziri
mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mheshimiwa Edward Lowasa akiwasili katika katika
viwanja vya kanisa la AICT pastoreti ya Kahama mjini wakati ibada ya harambee
ya ujenzi wa shule ya msingi ya kanisa hilo hapo jana
Kulia ni Mwenyekiti
wa Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Shinyanga Hamis Mgeja katikati ni Lowasa kushoto ni Askofu
wa kanisa AICT dayosisi ya Shinyanga John Nkola
Kwaya ya AICT SEGESE ikiimba hapo jana
Harambee inaendelea ambapo
zaidi ya
milioni 212 zimepatikana ambapo malengo yalikuwa milioni 150 na katika harambee
yeye alichangia shilingi milioni tano.
Wafanyabiashara mjini Kahama wakichangia na kushikana mkono na mheshimiwa Lowasa
Waumini katika viwanja vya KANISA LA AICT MJINI KAHAMA
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin