HIVI NDIVYO ILIVYOKAMILIKA ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM TAIFA ABDULRAHMAN KINANA MKOANI SHINYANGA

Wa tatu kushoto Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini ambye pia ni naibu waziri wa madini Stephen Masele akiwa na viongozi wa CCM na viongozi wa serikali wakielekea katika jengo la kiwanda cha nguo kinachojengwa na wachina mjini Shinyanga

Jengo la kiwanda cha nguo kinachojengwa mjini Shinyanga

Katibu mkuu wa ccm taifa Abdulrahman Kinana akijaribu kuendesha kiberenge ndani ya kiwanda cha nguo cha wachina

WANAINGIA UWANJA WA MKUTANO VIWANJA VYA SHY-COMAnayeendesha baiskeli ni ndugu Kinana,pembeni yake ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga Hamis Mgeja wakiendesha baiskeli ishara ya kwamba kiongozi anaweza kufika eneo lolote

Kinana anaongea na wananchi wa Manispaa ya Shinyanga

Baadhi ya wananchi waliofika eneo la mkutano wakimsikiliza kwa makini Kinana

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments