WAHAMIAJI HARAMU 18 WADAKWA SHINYANGA

Katikati aliyesimama ni afisa uhamiaji wa mkoa wa Shinyanga Annamaria Yondani ambaye amesema kazi ya kuwasaka wahamiaji wanaoingia mkoani shinyanga imeshaanza na tayari wamekamata wahamiaji haramu 18 kati yao 16 wamekamatwa wilayani Kahama na wawili  waliochuchumaa wamekamatwa mjini Shinyanga wakiwa ni wahamiaji kutoka nchini KENYA NA RWANDA.
 
Imedaiwa kuwa wahamiaji hao wengi ni kutoka nchi za Rwanda, Burundi na Kenya  na  wengi wao walikuwa wakiishi mikoa ya Kagera na Kigoma na wanaishi maeneo mbalimbali hapa nchini wakihifadhiwa na jamaa zao.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post