SAMAKI WAPIGANISHA VITA BARIDI MALAWI NA TANZANIA....WAZIRI MKUU ASEMA HANA TAARIFA

Andrew Kuchonjoma – Songea. 

Serikali na wananchi wa mikoa iliyokaribiana na Ziwa Nyasa katika nchi za Tanzania na Malawi wapo kwenye vita baridi wanayopiganishwa na samaki waliokutwa wanaelea ziwani wakiwa wamekufa hivi karibuni. 

Wakati serikali ya mkoa wa Ruvuma inaendelea na uchunguzi wa kujua kitu gani kilisababisha samaki hao kufa na kuelea katika ufukwe wa ziwa Nyasa upande wa Tanzania na Malawi, tayari kila upande wa nchi unamashaka. 

Kwa upande wa Malawi kwa kuwa walianzisha mgogoro wa Ziwa Nyasa kuwa ni lao, wanahofu na kudai kwamba hao watakuwa ni Watanzania wameamua kutaka kuwaua wananchi wa Malawi kwa sumu kupitia samaki. 

Na kwa upande wa Tanzania nao, wanahofu hiyo hiyo ya kudhani kuwa Malawi wanataka kuwaua Watanzania hususani mikoa ile inayopakana na Ziwa hilo pamoja na walaji wa samaki wa ziwa Nyasa. 

Mtizamo huo bado upo katika maeneo ya nchi hizi mbili ambapo kila upande unaendelea kuwa na hofu na pengine hata shughuli za uvuvi zinaendeshwa kwa tahadhari kubwa na kufanya uchunguzi ili kujua vifo hivyo vya samaki vilitokana na nini. 

Tukio hilo la samaki kufa na kuelea katika ziwa nyasa kwa pande zote mbili halijawahi kutokea bali kwa upande wa Tanzania limewahi kutokea miaka 60 iliyopita na ndiyo maana limezua utata mkubwa hasa ikizingatiwa limetokea wakati kunamgogoro uliotangazwa na Rais wa Malawi Joyce Banda kuwa ziwa hilo ni la Malawi. 

Julai 22 mwaka huu katika ukumbi wa Ikulu ndogo mkoani Ruvuma Waziri Mkuu Mizengo P. K.Pinda alipoulizwa na waandishi wa habari juu ya tukio hilo alisema yeye kwa upande wake ni kitu kipya kwa kuwa hana taarifa yeyote. 

‘’Hilo kwangu ni jipya, kwani hao samaki wanaokufa ni wote au waina fulani tu? ‘’ alihoji Waziri Mkuu Pinda. 

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu alisema kuwa ni kweli tukio hilo limetokea katika ziwa hilo na limejenga hofu kwa pande mbili kwa kuwa Malawi wanadai Tanzania wamelifanya tukio hilo na kwa upande wa Tanzania wanadhani ni hujuma ya Malawi. 

RC Mwambungu aliendelea kusema kwamba hata hivyo tukio hilo linachunguzwa na serikali kwa kutumia vyombo vyake ngazi ya mkoa kabla taarifa hiyo haijapelekwa ngazi za juu. 

Mkuu wa mkoa alisema pamoja na uchunguzi huo ambao unaendelea, taarifa za awali zinaonyesha kwamba pengine vifo hivyo vya samaki vilitokana na dhoruba kali lililotokea katika ziwa hilo ambalo limepitiwa na bonde la ufa. 

Baada ya kupata japo kwa ufupi Waziri mkuu alisema suala la mgogoro wa Malawi na Tanzania kuhusu Ziwa Nyasa bado lipo kwenye mazungumzo kutokana na kuunda kamati ya watu wachache kuangalia uwezekano wa kulimaliza suala hilo. 

Alisema lakini kama wanavyoeleza wao wenyewe wa Malawi kwamba wanania ya kulifikisha suala hilo kwenye mahakama ya Kimataifa kama wanavyodai ikishindikana kuwaachia ziwa, Tanzania haitakuwa na pingamizi kwani serikali imejipanga vizuri na suala hilo. 

Pia alisema endapo litafika huko basi anaamini haki itapatikana na itakapopatikana halafu Malawi wakaendeleza mgogoro hilo litakuwa lao watalinywa si letu tena kwa kuwa Tanzania inaamini jambo likimalizwa kwa majadiliano mezani au kisheria limemalizwa. 

Kwa upande wao wananchi waishio pembezoni mwa ziwa nyasa walieleza kwamba pengine tukio hilo la samaki kufa na kuelea ziwani limesababishwa na makaa ya mawe yanayosafirishwa kutoka bandari ya ndumbi Tanzani kwenda bandari ya Itungi wilayani kyela na Malawi. 

Mmoja wa wananchi hao Franco Ngongi mkazi wa liuli alisema kuwa kuna meli ambayo imekuwa ikibeba makaa ya mawe hayo na mengine kudondoka ndani ya maji kisha samaki kuvuta hewa chafu jambo ambalo wanadhani limesababisha vifo hivyo vya samaki. 

Alifafanua kwamba si tu meli hiyo kudondosha makaa bali hata eneo linalohifadhiwa makaa hayo hapo bandarini ndumbi kuna unga mwingi wa makaa na makaa yenyewe 

Alifafanua kwamba si tu meli hiyo kudondosha makaa bali hata eneo linalohifadhiwa makaa hayo hapo bandarini ndumbi kuna unga mwingi wa makaa na makaa yenyewe ambayo yanaingia ziwani wakati wa kupakia na kutiririshwa na maji ya mvua. 

Kuhusu suala la dhoruba kali kusababisha vifo hivyo alisema haiwezekani kwani mwakajana lilitokea dhoruba kubwa likasababisha vifo vya watu lakini samaki hawakufa iweje leo wavuvi waliendelea na uvuvi bila kuwapo kwa dhoruba lakini samaki walionekana wamekufa wanaelea. Alihoji mwananchi huyo. 

Hata hivyo Ngongi alieleza kuwa kitu kinachowatia shaka zaidi pale wanapoona afya za samaki hao hivi sasa wamekonda kuliko walivyowazoea kuwaona jambo ambalo linawatia shaka na pengine kuanza kuamini uvumi ambao ulitolewa mwakajana kwamba Rais wa Malawi atayatia shoti maji ya ziwa nyasa kuwa ni wa kweli. 

Mzee Robert Mahangulah ambaye amekuwa mvuvi katika ziwa hilo tangu mwaka 1948 alisema vifo vya mara chache vya samaki vilivyokuwa vinatokea wakati huo vilitokana na samaki kujeruhiwa na mamba, samaki wakubwa kama vile aina ya Bogobogo anayeweza kufikia urefu wa futi 4.5(Meta 1.5) kuwameza au kuwaumiza wenzake na kuzeeka kwa samaki ambao walikuwa wanakunywa maji kisha kupigwa na mawimbi hadi ufukweni huku wakiwa wamekufa. 

Alieleza vifo vilivyotokea mwaka huu vinatofauti kubwa na vile vya zamani kutokana na uwingi wa vifo vya samaki hao kwani zamani walikuwa wanakufa wachache lakini mwaka huu ni wengi mno jambo linaloleta shaka kubwa. 

Mzee huyo ambaye anavua hadi hivi sasa ameeleza pengine vifo hivyo vinatokana na kuchafuliwa kwa ziwa hilo kunakosababishwa na kusafirisha makaa ya mawe kutoka bandari 

Mzee huyo ambaye anavua hadi hivi sasa ameeleza pengine vifo hivyo vinatokana na kuchafuliwa kwa ziwa hilo kunakosababishwa na kusafirisha makaa ya mawe kutoka bandari ya Ndumbi kwenda Malawi na Ndumbi kwenda bandari ya Itungi Kyela Mkoani Mbeya. 

Hata hivyo Ngongi alieleza kuwa kitu kinachowatia shaka zaidi pale wanapoona afya za samaki hao hivi sasa wamekonda kuliko walivyowazoea kuwaona jambo ambalo linawatia shaka napengine kuanza kuamini uvumi ambao ulitolewa mwakajana kwamba Rais wa Malawi atayatia shoti maji ya ziwa nyasa kuwa ni wa kweli. 

Mzee Robert Mahangulah ambaye amekuwa mvuvi katika ziwa hilo tangu mwaka 1948 alisema vifo vya mara chache vya samaki vilivyokuwa vinatokea wakati huo vilitokana na samaki kujeruhiwa na mamba, samaki wakubwa kama vile aina ya Bogobogo anayeweza kufikia urefu wa futi 4.5(Meta 1.5) kuwameza au kuwaumiza wenzake na kuzeeka kwa samaki ambao walikuwa wanakunywa maji kisha kupigwa na mawimbi hadi ufukweni huku wakiwa wamekufa. 

Alieleza vifo vilivyotokea mwaka huu vinatofauti kubwa na vile vya zamani kutokana na uwingi wa vifo vya samaki hao kwani zamani walikuwa wanakufa wachache lakini mwaka huu ni wengi mno jambo linaloleta shaka kubwa. 

Mzee huyo ambaye anavua hadi hivi sasa ameeleza pengine vifo hivyo vinatokana na kuchafuliwa kwa ziwa hilo kunakosababishwa na kusafirisha makaa ya mawe kutoka bandari ya Ndumbi kwenda Malawi na Ndumbi kwenda bandari ya Itungi Kyela Mkoani Mbeya. 

Alifafanua kwamba mazingira ya bandari ya ndumbi yanapopakiwa makaa hayo yanachafua maji hayo vibaya mno kiasi kwamba kinaweza kuwa ndicho chanzo cha vifo vya samaki hao. 

Alisema hata yeye mwenyewe hivi karibuni alikwenda kukoga maji hayo lakini baada ya muda mfupi alipotoka nje mwili wake ulionekana kama umebabuka au kama magamba ya nyoka jambo ambalo alihisi pengine uchafu utokanao na makaa ya mawe. 

Mtaalamu wa madini Mjiolojia(Giologist) Emmanuel Nyamusika alieleza kwamba katika uchimbaji wa makaa ya mawe kama eneo la machimbo linakuwa na miamba yenye madini aina ya salfa (Sulphur) mfano ‘pyrite’ basi madini haya yanaweza kuchanganyika na makaa ya mawe. 

Nyamusika alisema mchanganyiko huo unapokutana na maji basi uwezekano wa kutengenezeka kwa salfyuriki asidi (Sulphuric acid) ni mkubwa. 

Mjiolojia huyo wa kampuni ya MANTRA inayojihusisha na utafiti na uchimbaji wa madini ya URANI hapa nchini alifafanua kwamba acid hii inayotengenezwa ni hatari kwa mazingira na viumbe hai wanaoishi majini. 

Kwa hiyo alishauri kuwa ni vyema kwenda kuangalia eneo linalochimbwa makaa hayo ili kujiridhisha kama kuna miamba yenye madini aina ya sulphur ili iwe rahisi kuchukua tahadhari wakati wa kuchimba na kusafirisha makaa ya mawe kwenye ziwa nyasa. 

Daktari Mathew Chanangula wa hospitali ya mkoa wa Ruvuma alieleza kwamba kwa kuwa asili ya makaa ya mawe ni carbon hivyo yanapochimbwa na kuhifadhiwa mahali hasa kama yamevunjwa vunjwa yanatabia ya kutengeneza hewa ya Carbonmonoxide. 

Alisema hewa hii ambayo ni sumu inatabia ya kunyonya hewa ya oksijeni (oxygen) kama ilivyo kwa hymoglobin iliyopo ndani ya damu kazi yake kunyonya oxygen kutoka kwenye damu. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527