DUNIA WATU:MWANAMKE AJIFUNGUA MTOTO ANAYEFANANA NA CHURA............


TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ZINAZOONEKANA !!!!

 


Hujafa hujaumbika......

Mwanamke mmoja amejikuta katika wakati mgumu baada ya kujifungua mtoto mwenye uso na kichwa kama chura.......

Mwanamke huyo ambaye ni mama wa watoto wawili amedumu na mimba hiyo kwa miezi 13...Wengi waliamini kuwa mama huyo alikuwa na mimba ya mapacha.......


Akiongea kwa huruma, mume wake amedai kuwa kuna mkono wa mtu. maana nyoka hawezi kuzaa ng'ombe na kondoo hawezi kuzaa samaki......

Yeye pamoja na mkewe wameamua kumwachia mungu na kwamba wapo tayari kumlea mwanao japo ana kichwa cha chura.....

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post