Usafiri wa daladala wa treni waanza rasmi leo jijini Dar es salaam

.
USAFIRI wa abiria wa treni leo umeanza rasmi jijini Dar es Salaam na wakazi wa jiji kuonekana kuupokea kwa furaha zote
Treni hiyo ya abiria imeanza kwa njia ya Stesheni hadi Ubungo maziwa kwa bei ya shiliongi mia nne Usafiri huu uiahidiwa kwa muda mrefu na Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe na hatimaye leo ametimiza ahadi yake hiyo Mtandao huu ulishuhudia moja ya safari ilioyofanywa na treni hiyo ambapo wakazi wengi wamejitokeza na kuonekana kuufurahia

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post