Showing posts with label nyimbo za asili. Show all posts
Showing posts with label nyimbo za asili. Show all posts

Thursday, January 17, 2019

HAWA JAMAA WALISHAPOTELEA WAPI

HAWA JAMAA WALISHAPOTELEA WAPI

Kupitia ukurasa wake wa Facebook,Mwandishi wa habari Costantine Mathias amepost ujumbe huu

Wednesday, January 16, 2019

Video Mpya : NELLY JAKANO Ft BEST NASSO & CHIEF MAKER - JABER

Video Mpya : NELLY JAKANO Ft BEST NASSO & CHIEF MAKER - JABER

Msanii wa nyimbo za asili Nelly Jakano ametualika kutazama video yake mpya inaitwa Jaber ambayo amewashirikisha wasanii Best Nasso n...

Friday, January 11, 2019

Ngoma Mpya : MANJU INAGA MLYAMBELELE - MGELEGELE

Ngoma Mpya : MANJU INAGA MLYAMBELELE - MGELEGELE

Ninakualika kutazama ngoma mpya ya Manju Inaga Mlyambelele inaitwa Mgelegele

Sunday, January 6, 2019

Video Mpya ya asili 2019 :  NCHAINA MADIRISHA - MASAMVA

Video Mpya ya asili 2019 : NCHAINA MADIRISHA - MASAMVA

Msanii wa nyimbo za asili Ng'wana Nchaina 'Nchaina Madirisha' kutoka Kahama mkoani Shinyanga anatualika kutazama video ya...

Friday, January 4, 2019

Wimbo mpya : SAIDA KAROLI-MAGENYI

Wimbo mpya : SAIDA KAROLI-MAGENYI

Msanii  Saida Karoli anakukaribisha kuusikiliza wimbo wake mpya uitwao Magenyi.