Showing posts with label michezo. Show all posts
Showing posts with label michezo. Show all posts

Wednesday, January 23, 2019

SIMBA SC WAICHAPA AFC LEOPARD 2 - 1..... YATINGA NUSU FAINALI SPORTPESA

SIMBA SC WAICHAPA AFC LEOPARD 2 - 1..... YATINGA NUSU FAINALI SPORTPESA

Simba SC imefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya AFC Leopards ya Ken...
FIFA YAMFUNGIA MAISHA MICHAEL WAMBURA KUJIHUSISHA NA MPIRA WA MIGUU

FIFA YAMFUNGIA MAISHA MICHAEL WAMBURA KUJIHUSISHA NA MPIRA WA MIGUU

Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), limetangaza kumfungia Michael Wambura maisha. Kifungo hicho kinamfanya...
MBAO FC WAAMUA KUMBEBA ZAHERA...WAITOA GOR MAHIA

MBAO FC WAAMUA KUMBEBA ZAHERA...WAITOA GOR MAHIA

Mbao FC Mapema jana baada ya mchezo wa Yanga na Kariobangi Sharks kumalizika kwa Yanga kutolewa kwa kufungwa mabao 3-2, kocha Mwiny...
KOCHA SIMBA ATEMA BEKI NA MSHAMBULIAJI

KOCHA SIMBA ATEMA BEKI NA MSHAMBULIAJI

Kocha Patrick Aussems Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Patrick Aussems amesema hajawajumuisha wachezaji wake wawili katika kikosi cha ...

Tuesday, January 22, 2019

USAIN BOLT ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

USAIN BOLT ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

Usain Bolt amethibitisha kuwa amestaafu kucheza soka baada ya kushindwa kupata mkataba katika klabu ya Central Coast Mariners ya Australi...