
Na MWANDISHI WETU
WATU 21 wamefariki dunia na wengine 5 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea leo. Novemba 9/2026 Majira ya asubuhi.
Ajali hiyo imetokea njia panda ya Kijiji Cha Kiponzero barabara kuu ya Iringa-Mbeya ikihusisha basi la Maokoto lilogongana uso kwa uso na Roli lililokuwa limebeba mzigo.
Kamanda wa polisi Mkoa wa Iringa Allan Bukumbi amethibisha kutokea Kwa ajali hii.

TAFUTA HABARI
Social Plugin