Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video Mpya : YOBAT x BHUDAGALA – SIMU


Wapenzi wa muziki wa asili, burudani inaendelea! Msanii Yobat kwa kushirikiana na Bhudagala wanakuletea wimbo “Simu”, uliotolewa ukiambatana na video rasmi yenye ubora wa 4K.

Kupitia wimbo wao “SIMU,” wasanii Yobat na Bhudagala wanagusia changamoto zinazoweza kujitokeza kutokana na matumizi ya simu katika mahusiano, huku wakitoa ujumbe unaohimiza matumizi sahihi ya teknolojia ili kulinda upendo na amani katika ndoa.

Wimbo huu ni sehemu ya burudani inayostahili kuongezwa kwenye orodha yako ya nyimbo za kufurahia. Tembelea YouTube kutazama video rasmi na kufurahia kazi hii ya wasanii hao.
Tazama Video Hapa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com