Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA DKT. HOMERA ATEMBELEA BANDA LA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI SABASABA

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Homera akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa Maonesho ya Sabasaba yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Homera akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Uthibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Camilius Ruhinda alipotembelea banda la Ofisii hiyo wakati wa Maonesho ya Sabasaba yanayofanyika Jijini Dar es Salaam.
Wakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Evelius Mwendwa akizungumza na ndugu George Mandepo, Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania alipotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa Maonesho ya Sabasaba yanayofanyika Jijini Dar es Salaam.
Wakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Evelius Mwendwa akitoa elimu ya msaada wa kisheria kwa wananchi waliotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa Maonesho ya Sabasaba yanayofanyika Jijini Dar es Salaam.
Wakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Salehe Manoro akitoa elimu ya msaada wa kisheria kwa wananchi waliotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa Maonesho ya Sabasaba yanayofanyika Jijini Dar es Salaam.
Wakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Salehe Manoro akielezea majukumu ya Ofisi hiyo kwa watumishi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) walipotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa Maonesho ya Sabasaba yanayofanyika Jijini Dar es Salaam.




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com