Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

PAULO MAKONDA - AJALI YA LUNG'WECHA NG'WANITULI

Msanii wa muziki wa asili Paulo Makonda ameachia wimbo maalum unaogusa hisia, ukiwa ni salamu ya pole na kumbukumbu kufuatia ajali iliyohusisha kundi la Manju Lung'wecha Ng'wanituli, ambapo madansa watano walipoteza maisha. Kupitia mashairi yenye majonzi, Paulo Makonda anatoa pole kwa familia zilizopoteza wapendwa wao, marafiki, mashabiki na wadau wa sanaa, huku akiombea faraja na kuhimiza umoja katika kipindi hiki kigumu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com