Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI KATAMBI ATOA UFAFANUZI SAKATA LA KUPOTEA KWA NYETI




Na mwandishi wetu,Dodoma

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi ametoa kauli ya Serikali juu ya Taarifa za Uzushi zinazoendelea kuenea kupitia mitandao ya kijamii huku akiitoa jamii wasiwasi juu ya taarifa hizo ambapo Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimefanya uchunguzi wa kina na kubaini hakuna ukweli wa taarifa hizo.

Waziri Katambi amesema serikali itawachukulia hatua watu wote wanaoeneza uzushi huo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com