Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

CHAKWERA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, MHE. BALOZI MAHMOUD THABIT KOMBO

Mhe. Lazarus Chakwera, Rais wa Zamani wa Malawi, akiambatana na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mhe. Shirley Ayorkor Botchwey, amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, jijini Dar es Salaam Aprili 9, 2026.
Mkutano huo ulilenga kumkaribisha nchini na pia ni ishara ya  kuanza ratiba yake ya kukutana na wadau mbalimbali ikiwamo kukutana na ujumbe wa Serikali Aprili 09, 2026 katika Kituo cha  Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere.













Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com