Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

AYEDAIWA KUWA NA “NUKSI YA CHUMBANI”, APATA UPONYAJI WAKE!



Mtaani kulienea tetesi za chinichini kuwa mwanamke mmoja aliyeitwa Sophia ana nuksi ya ajabu kwasababu kila mume anayemuoa anamwacha baada ya mwaka mmoja tu wa ndoa. Siri ambayo watu hawakuijua ni kwamba Sophia alikuwa na tatizo la ukavu uliokithiri ambao uliwafanya wanaume wakimbie maumivu na “msuguano” wa chumbani.

Sophia alijihisi mnyonge na alifikia hatua ya kutaka kujiua akiamini naye nimerogwa na ndugu zake wa upande wa baba wasiopenda aolewe na kupata maisha mazuri.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com