Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. SAMIA AREJEA NCHINI AKITOKEA ADDIS ABABA AMBAPO ALISHIRIKI KWENYE MKUTANO WA KAWAIDA WA 39 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UMOJA WA AFRIKA (AU)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Kiwanja che Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume, Zanzibar na kupokelewa na Viongozi mbalimbali akitokea nchini Ethiopia baada ya kukamilisha ziara ya kikazi ya siku nne, ambapo pamoja na mambo mengine alishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika tarehe 14 na 15 Februari, 2026 .

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com