
Kupoteza kazi kulinivunja moyo zaidi kuliko nilivyotarajia. Nilikuwa na majukumu, familia iliyonitegemea, na mipango mingi ya maisha. Siku ile niliyoitwa ofisini nikaambiwa huduma zangu hazihitajiki tena, nilitoka nikiwa na kichwa kizito.
Nilipoteza amani, usingizi ukaanza kunikimbia, na hofu ya kesho ikatawala mawazo yangu.
Siku zilivyoendelea, nilijaribu kuonekana imara mbele ya watu, lakini moyoni nilikuwa nimechoka.
Social Plugin