
Sikukuu zilipofika, nilijipa ruhusa ya kufurahia kama wengine. Nilicheka, nilisafiri, nilinunua zawadi na kuandaa sherehe nyumbani. Kila kitu kilionekana sawa hadi likizo ilipokwisha.
Nilipoanza kuandaa watoto kurudi shuleni, ukweli ulinigonga ghafla ada haikuwepo. Nilijilaumu kwa kimya, nikijua nilienda mbali kuliko uwezo wangu.
Social Plugin