
Mwaka mpya ulipofika, sikuhisi furaha niliyotarajia. Nilikuwa na mzigo wa kodi ya nyumba, ada ya shule, na madeni madogo yaliyokuwa yamenifuatilia tangu sikukuu.
Kila asubuhi nilipoamka, mawazo yalikuwa yale yale: nitalipia nini kwanza bila kuharibu kingine? Hofu ilianza kunifanya nikose usingizi na hata kuathiri kazi yangu.Nilijaribu kupanga kwa haraka, lakini mipango ilikuwa ikivunjika kabla haijaanza.
Social Plugin