
Kwa miaka kadhaa, Januari ilikuwa mwezi wa mateso kwangu. Nilikuwa naumwa karibu kila mwanzo wa mwaka mafua ya mara kwa mara, maumivu ya mwili, homa zisizoeleweka, na uchovu uliokataa kuisha.
Nilianza kuamini kuwa labda mwili wangu hauwezi kuvumilia mabadiliko ya msimu au presha ya mwanzo wa mwaka. Kilichoniumiza zaidi ni kwamba hali hii ilinifanya nipoteze siku nyingi za kazi na kuvuruga mipango yangu.
Social Plugin