
Sikuwahi kufikiria kuwa kazi ingetuingiza kwenye hali ya ajabu kiasi hiki. Nilikuwa mfanyakazi wa kawaida, nikifanya bidii ili kutimiza malengo yangu. Boss wangu alikuwa mkali, mwenye sauti kubwa na hakuamini mtu kirahisi.
Kila siku nilijitahidi kuonyesha uwezo wangu, lakini licha ya juhudi zote, nilionekana kupuuzwa. Ilifika wakati nilianza kuamini labda sifai, au kuna jambo linafanyika kisiri dhidi yangu. Kadri muda ulivyopita, hali ilizidi kuwa ngumu.
Social Plugin