
Shule ya Awali na Msingi Santa Edwin inapenda kuutangazia umma kuwa inaendelea kupokea wanafunzi wanaojiunga na wanaohamia (Transfers) kwa madarasa yote, kuanzia Awali hadi Msingi.
📍 Mahali: Majengo Mapya, Nyegezi – Mwanza
Shule inatoa huduma za:
🏫 Bweni
🏫 Kutwa
Santa Edwin ina:
Mazingira bora ya kujifunzia
Walimu wenye uzoefu
Malezi yanayozingatia maadili, nidhamu na ubora wa elimu
📞 Kwa mawasiliano na maelezo zaidi: 0754 551 306 au 0786 349 813
Karibu Santa Edwin – Msingi Imara wa Elimu na Maadili ya Mtoto Wako.

Social Plugin