Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video Mpya : MJUKUU WA MWANAMALONDE - SUDAI


Msanii maarufu wa muziki wa asili, Mjukuu wa Mwanamalonde, ameachia rasmi wimbo wake mpya unaoitwa “SUDAI”.

Wimbo huu umetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu chini ya usimamizi wa Director Jax


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com