Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), amesema Chama Cha Mapinduzi kimewaheshimisha wanawake kwa kumteua Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akizungumza Wanawake wa Mkoa wa Katavi
amesema hatua hiyo ni ishara ya imani kubwa inayooneshwa na chama kwa wanawake wa Tanzania hivyo amesema ni vyema wanawake nchini kumpigia kura Dkt samia pamoja wabunge na madiwani wa ccm kwa wingi ili kupata ushindi wa kushindo ifikapo oktoba 29.








Social Plugin