Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NILIPIGWA NA BUTWAA KUONA JINA LA PAMELA KWENYE HATI YA SHAMBA LA SUGAR DADDY WANGU



Kilichotokea siku hiyo siwezi kukisahau. Nilikuwa nimekaa sebuleni nikipanga makabrasha ya mume wangu ambaye pia alikuwa ‘sugar daddy’ wa watu bila mimi kujua. Alikuwa safarini na aliniomba kupitia baadhi ya hati zake kwa ajili ya kukamilisha malipo ya kodi ya mashamba yetu.

Ndipo macho yangu yalipokutana na kitu kilichonifanya nipate kizunguzungu jina la Pamela Mwakipesile kwenye hati halali ya umiliki wa shamba lililokuwa lake kwa zaidi ya miaka saba.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com