
Aibu kubwa ilishuhudiwa mjini Kariakoo, Dar es Salaam, baada ya mwanamke mmoja kuvua nguo hadharani katikati ya soko kuu, akieleza kuwa alisikia sauti ya ajabu ikimwamuru afanye hivyo.
Tukio hilo la kushangaza lilitokea majira ya saa nne asubuhi, na kuwavutia mamia ya watu waliokuwa sokoni, ambao walisimama kushangaa na kupiga video tukio hilo la aibu.
Social Plugin