
Kwa muda mrefu nilikuwa nikiamini kuwa marafiki wa kweli hujitokeza wakati wa dhiki na furaha. Sarah alikuwa zaidi ya rafiki kwangu alikuwa dada ambaye sikuweza kuishi bila kumwambia lolote.
Tulianza urafiki tangu sekondari, tukasoma pamoja hadi chuo, na hatimaye nilimfanya msimamizi wa harusi yangu na Alfred. Niliamini kabisa kwamba hakuna kitu ambacho kingetutenganisha. Lakini siku moja niligundua kuwa maadui wa kweli huwa wanavaa sura ya marafiki. Soma zaidi
Social Plugin