Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Breaking News!! SASA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE CCM HADHARANI, HAYA HAPA SOMA


Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, iliyoketi Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wamemaliza kazi ya kuchuja majina ya Wagombea Ubunge kupitia CCM.

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla, anazungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM, Dodoma
 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com