Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RADVA BARBERSHOP & SPA YASHEREHEKEA MWAKA 1 WA HUDUMA BORA KWA KISHINDO! 💈🔥

 


RADVA BARBERSHOP & SPA ya Mjini Shinyanga inasherehekea mwaka mmoja wa kutoa huduma bora, za kisasa na zenye mvuto wa kipekee,

Tunapenda kukushukuru wewe mteja wetu kwa kutuamini! 💖


Kwa pamoja, tumejenga kitu kikubwa – sasa ni wakati wa kusherehekea kwa mtindo wa RADVA! 💃🕺


💈 HUDUMA ZETU ZA KISASA:

✨ Kunyoa & Kuchonga kisasa (wanaume & watoto)
✨ Scrub – kwa aina zote za ngozi
✨ Facial – uso wako uangaze
✨ Super Black & Dye
✨ Dreadlocks & Waves
✨ Manicure & Pedicure
✨ Full Body Massage – kwa utulivu na kupumzika
✨ Kupamba Mabwana Harusi
✨ VIP & VVIP – kwa wateja wanaopenda hadhi ya juu


🏠 TUNA MAENEO MAALUM KWA HUDUMA BORA:

🔹 Room 01: Wateja wa kawaida – Kunyoa & Kuchonga
🔹 Room 02: Scrub, Facial, Manicure, Pedicure
🔹 Room 03: VIP – Massage ya hadhi ya juu
🔹 Room 04: VVIP – Huduma tulivu kwa faragha ya hali ya juu

📺 TV kubwa 3 za kisasa – tazama mpira na burudani unayosubiri huduma zako kwa furaha!


📞 WASILIANA NASI SASA:
📲 Simu: +255 767 958 194
📢 RADVA – Tunasherehekea mwaka mmoja kwa kukupa wewe zaidi ya huduma… tunakupa hadhi! 🌟


📍 Tupo Shinyanga Mjini – Mtaa wa Market, mkabala na Mnazi Mmoja.
RADVA Barbershop & SPA – Sherehekea nasi, pendeza nasi

 


 

@malundeblog

RADVA Barbershop & SPA Shinyanga Mjini! Call 0767958194

♬ original sound - Malunde

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com