Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Felista Joseph Endr, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho ili kugombea nafasi ya Udiwani wa Kata ya Ngokolo, katika Jimbo la Shinyanga Mjini.Hatua hiyo ni sehemu ya mchakato wa ndani wa CCM unaowapa nafasi wanachama kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

Social Plugin