
🎓 JE, UNATAKA KUWA MBUNIFU? KARIBU FARMCART SCHOOL OF INNOVATIONS 🚜
🎓 Karibu FARMCART SCHOOL OF INNOVATIONS 🚜
Jiunge nasi katika mafunzo ya uundaji wa magari ya kilimo “FARMCART”
VIGEZO:
✅ Umri miaka 18 na kuendelea Jinsia Zote
✅ Uwe tayari kuwa mwanafunzi wa ufundi magari kwa muda mfupi (miezi 3)
📞 PIGA SIMU: 0769 763 285 au WhatsApp: https://wa.me/255769763285
📍 MAHALI: Chuo cha Ufundi Bravo (B.I.T),
Chuo kipo Maendeleo, Kata ya Mbasa, Ifakara – Morogoro
🛏 Hosteli Zipo
Fomu za Kujiunga zinapatikana chuoni au Bonyeza https://forms.gle/irdwd86nKJVPd5uo8 Kujisajili
Social Plugin