Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MAKONDA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE ARUSHA MJINI


Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, leo Juni 28, 2025, amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Paul Christian Makonda alipowasili katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha Mjini, ambapo amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Mjini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com