
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Veronica Julius Nyaki, ameonesha ujasiri na dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi kwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ili kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini.
Veronica Nyaki amechukua fomu leo Juni 30, 2025, katika ofisi ya CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini.

Social Plugin